Tuesday, July 26, 2011

FFU wa Ngoma Africa band Jino kwa Jino na washabiki wa Africa & Carebbean Festival, Frankfurt ,jumamosi 6.08.2011

Maelefu ya washabiki mjini Frankfurt wanatarajiwa kuvaana uso kwa uso,
jino kwa jino na bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya
"Ngoma Africa band" katika onyesho kubwa la kimataifa la "Africa &
Carebbean Festival,litakalo fanyika katika viwanja vya Robestock Park,
mjini Frankfurt,Ujerumani siku ya jumamosi 6.08.2011,ambako kamanda Ras Makunja
wa FFU ataongoza kikosi chake jukwaani,bendi hiyo yenye utajili wa washabiki na wanamziki
wenye vipaji miongoni mwao akiwemo mpiga solo gitaa Chris-B.

No comments: