Thursday, May 12, 2011

Tanzanite Society
Ndugu Wanajumuiya na Watanzania wote kwa ujumla,
Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Wanaoishi Nchini Japani unapenda kuwatangazia kuwa kutakuwepo na Mkutano mkuu kwa Wanajumuiya wote na Watanzania wote ambao utafanyika jumapili ya tarehe 22 MEI 2011. Katika ukumbi wa Ubalozi wetu pale Kamiyoga., Setagaya ku Tokyo.

Ajenda na wakati tutawafahamisha mara matayarisho yote yatakapo kamilika. Tunaomba yeyote yule mwenye hoja za kujadiliwa aziwakilishe kwa Katibu Mkuu au Makamu Katibu Mkuu ili ziwekwe kwenye ajenda za mkutano.

Naomba sote kwa ujumla tusaidiane kuwafahamisha wanajumuiya wote na wale ambao hawajafanya juhudi za kujiunga na jumuiya kuhusu mkutano huu muhimu.


Natanguliza shukrani zangu za dhati.

Jullius L. Mwombeki Jnr
Katibu Mkuu
Jumuiya ya WaTanzania Wanaoishi nchini Japani

1 comment:

Anonymous said...

Here to congraturate tanzanian in the Diaspora showing solidarity like these in Japan!Really shows how tanzaniaand her people cohesive in the key issues in any society and a country to remain peaceful and harmony!Bravo tanzanian in japan.
Secondly,iwould like to get ua assistance to be in touch and to know the whereabouts of my longbest friend but displaced with my contacts-prevously living in the city of osaka,his name DERRICK AMANI.My contacts are fjmloghy@yahoo.com,cell 0784835214,0716307686 and +255 023 2614182,2614214.thanks