Saturday, May 21, 2011

Tanzania Society - Usafiri kuelekea UbaloziniHAYA WAZEE WA MITAA YA ZAMA,AYASE,YAMATO,SAGAMIHARA,EBINA NA MAENEO YA KARIBU..KESHO KUTAKUWA NA BASI LA BURE KWENDA MKUTANONI UBALOZINI TOKYO..
SAFARI ITAANZA SAA TANO NA NUSU KUELEKEA MJINI..MAMBO YA MISOSI NA VINYWAJI VYETU VITAPATIKANA KAMA KAWAIDA FOR FREE OF CHARGE.UNACHOTAKIWA NI KUFIKA LAWSON SAGAMINO KESHO SAA TANO KAMILI ASUBUHI.
KUJA KWAKO KESHO MKUTANONI NDIO KUKAMILISHA SHUGHULI NZIMA ZA AGENDA ZA MKUTANO HUO..KUHUSU MADEREVA WA BASI HILO HAKUNA SHAKA NDUGU OMARY MWICHANDE SWALEHE NDIO ATAKAMATA NYUNGO KWENDA UBALOZINI TOKYO.

No comments: