Tuesday, May 03, 2011

HATIMAYE KAMPENI ZA KUWANIA NAFASI MBALIMBALI KATIKA SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA ZAANZA RASMI

Mmoja Wa Wagombea Wa Nafasi Ya Uraisi Wa Kitivo Cha Sayansi Ya Jamii, Sanaa Na Lugha Godwin Gonde Amani Akiwa Na Wadau Wake Wakati Alipokwenda Kujitambulisha Katika Makazi Ya Wanafunzi wa Shule Ya Sanaa na Lugha Kwa ajili Ya Kuanza Kampeni Zake.

Kama Unavyoelewa Katika Kampeni Vifijo Na Ndelemo Huwa Havikosi Huyu Jamaa Ni Mmoja Wa Wafuasi Wa Godwin Gonde Anayewania Nafasi Ya Uraisi Wa Kitivo cha Sayansi Ya Jamii, Sanaa na Lugha akiwa Katika Kuburudisha Wanafunzi Waliojitokeza Kusikiliza Utambulisho Wa Mgombea Uraisi Wa Kitivo

Mgombea Akinadiwa Na Wadau Wake Mbele Ya Wanafunzi Katika Makazi Yao Jioni HiiHaki Sawa Kwa Wote Dada Latipha Akuwa Nyuma Kubeba Bango Linalotoa Ujumbe Wa Kumpigia Kura Godwin Gonde Kuwa Raisi Wa Kitivo Cha Sayansi Ya Jamii , Sanaa na Lugha.Mabango Huwa Hayakosi Katika Kampeni Huyu Ni Mmoja Wa Wafuasi Wa Godwin Gonde Akiwa amebeba Moja ya Bango linalotoa Ujumbe Wa Mpe Kura Godwin Gonde Kuwa Raisi Wa Sayansi Ya Jamii na Sanaa ya Lugha (SOCIAL SCIENCE AND HUMANITIES).


zaidi tembelea hapa

No comments: