Tuesday, March 15, 2011

Tanzanite SocietyTumelazimika kuahirisha Mkutano wetu Mkuu uliopangwa kufanyika Jumapili hii, Machi 20, 2011, katika ukumbi wa Odasaga Plaza, kwa sababu zifuatazo.

1. Tumearifiwa na wamiliki wa ukumbi kuwa hakutakuwa na umeme kweye jengo lao siku hiyo kwa sababu ya mgao
2. Kumekuwa na ugumu wa kusafiri kwenye baadhi ya maeneo kutokakana na train kufupisha safari au kuruhusiwa kusafiri kwenye baadhi ya vituo tu.

Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza, na tunawashukuru sana wale wote waliotenga nafasi kwenye ratiba zao ili waweze kuhudhuria mkutano huu.
Tutawaarifu mapema iwezekanavyo pale tutakapoona hali imekuwa shwari. Kwa wakati huu, tutaendelea kuwasiliana kwa njia hii ya email na pia kwa
njia simu pale inapobidi.

Naomba tushirikiane kuisambaza taarifa hii kwa wenzetu ambao ujumbe huu utakua haujawafikia ili kuwaepushia usumbufu.

Mr. Mossongo, tunakushukuru sana kwa kuonyesha nia ya kuhudhuria Mkutano huu, kama ambavyo umekuwa ukihudhuria mikutano iliyopita.

Asanteni sana,

NJENGA, Rashid MBA
Kaimu Mwenyekiti
Kawasaki, Japan

No comments: