Saturday, February 05, 2011

Tokyo LadyBraid Saloon

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ngoja nifunge begi langu nije huko ,eeeh sihitaji begi. Yaani wamependeza kweli....WIVU....

Swahili na Waswahili said...

jamini kazi nzuri wamependeza sana maana nywele zao laini sana zinataka kujua sana,hongera aliowasuka fundi haswa!!.

PASSION4FASHION.TZ said...

Kazi nzuri kwa msusi,mwanzo mpaka mwisho woooote! pendeza mbaya,good job dada hongera sana.
xx!

Anonymous said...

Hi mumy Hery hizi ni good news, jamani hiyo salon iko tokyo sehemu gani au hata kama kuna salon nyingine unayoijua nzuri naomba nijulishe. na gharama zao zikoje, nijiandae. Nitashukuru kwa msaada wako

Anonymous said...

Habari yako Mumy! Natumai umzima, ningeomba kujua hii saloon iko maeneo gani hapa jp? pls ningeomba mwaya unifahamishe! wanajua kweli ususi nimependa xana..........ahsante