Saturday, February 26, 2011

Orange3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Bombi sana, ni kweli inapendeza unapovaa nguo za rangi kama hii au kijana yaani zile kalikali...

emu-three said...

Rangi ni kuvutio cha macho, basi kwa wale waliojaliwa na kipaji cha kuzirembesha, ni burudani ya aina yake!
Shukurani Mumyhery!

Swahili na Waswahili said...

Rangi imetulia hiyo!@ da yansinta wewe yanga nini?