Friday, January 14, 2011

Ras Makunja na mzimu wake wa Dansi ! alivyotua Serbia na kudatisha washabiki !!

Washabiki wamedata !Mabody gards Roho juu!


Kamanda Ras Makunja na Kikosi chake Ngoma Africa band aka FFU,walivyotua nchini Serbia!
Walipewa Ulinzi mkali! lakini Shangwe za washabiki zilizidi mno!

Unapoutaja mziki wa Bongo Dansi jina la Ras makunja aka kamanda wa FFU na Kikosi chake Ngoma Africa band aka FFU,
uwezi kabisa kulikwepa,Ususan kutokana na ushujaa wao,pamoja na mdundo wao ambao unapenya katika ubongo wa kila mshabiki
duniani! ni Juzi tu tarehe 6 January 2011 mzaliwa wa Jijini Dar Kamanda Ras Makunja na mzimu wake wa dansi "Ngoma Africa Band"
walikwea Pipa boing 737 ya Air Berlin kulekea Belgard,Serbia kutoa Burudani ya kukata na mundu! katika juhudi zao za kulitangaza
Bongo dansi bendi hiyo mara nyingi inavaana na washabiki sugu! na pengine pamoja na kusindikizwa na ulinzi mkali,washabiki bado wanaichukulia bendi hiyi ni mali yao na hakuna wa kuwazuia kuonana au kushikana mikono na Ras Makunja au wanamziki wa Ngoma Africa Band aka FFU,
Kiongozi wa bendi hiyo Ras Makunja yanamkuta mengi pale anapoiaga familia yake na kuelekea ziarani!Mara nyingine Kamanda Ras Makunja na kikosi chake wamekuwa wamechoka kwa safari na Kukosa kulala wawapo safarini lakini bado cha moto kinawasubiri kwa shangwe za washabiki
ambao wanaamini kuwa Ngoma Africa band ni mali yao!na hakuna wa kuwaziwia kuonana au kusalimiana na Kamanda ras makunja pia na wanamziki wa bendi hiyo aka FFU!Pamoja na maporomota kuongeza Ulinzi na bendi hiyo kupangiwa Hotel mbali na vurugu za washabiki! lakini
bado washabiki wa kimataifa wa bendi hiyo wanajivunia mzimu wao Ngoma Africa band aka FFU.
Ngoma Africa band aijioni kuwa ni staa lakini umaarufu wake wakati mwingine unazibabishia tahasisi za ulinzi kazi ya ziada bendi hiyo iwapo ziarani au jukwaani ,any way waswahili walisema mchuma janga ula na wa kwao !lakini kwa janga hili nani? yupo tayari kula na Ngoma Africa?
Ukitilia maanani safari zao mara nyingine ni katika nchi za hatari kama Serbia!Bosnia?
mm!mm! Stress tupu! hapa panataka moyo mgumu
bora tuburudike at www.reverbnation.com/ngomaafricaband

No comments: