Wednesday, January 05, 2011

Osechi Ryori

Chakula cha Asili cha Mwaka Mpya cha Kijapan4 comments:

Anonymous said...

Mhhh very delicious, mate yananitoka, lakini hamna nyoka humo, au konokono...manake hawa wenzetu hawachagui cha kutafuna, vyura nini weka ndani!???

Candy1 said...

hahaha Anonymous kaniwahi...kweli it looks very delicious and very colourful but what exactly is in it!...naogopa kidogo...lol

emu-three said...

Mhhh very delicious, mate yananitoka, lakini hamna nyoka humo, au konokono...manake hawa wenzetu hawachagui cha kutafuna, vyura nini weka ndani!???

mumyhery said...

Cindy na emu-theree

Jamani japani sijaona mtu ana kula chura na nyoka, halafu osechi ryori hata kweye wikipedia ipo unaweza iangalia huko ukaijua zaidi kila chakula kilichomo humo ndani kina maana yake