Sunday, January 16, 2011

khangazzz!!!

animal print

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Da M. Hizi ni BOMBA mno zinapatikana wapi maana wow! nimezipenda na zinaonyesha uasili wa afrika kabisa jamani nazitaka mwenzenu.

mumyhery said...

Yasinta hiizi khanga nnaziuza tuwasiliane!!!

Swahili na Waswahili said...

unauza kwa jumla au?je kwanjia posta inawezekana?kazi nzuri dada!

mumyhery said...

nauza jumla na reja reja!