Friday, January 21, 2011

Arobaini ya Marehemu Hassan J MakunjaFamilia ya J.s.Makunja na Bi.Moza Mpili,
Inawatarifu ndugu,Jamaa na marafiki wote kuwa
Shughuli ya hitma na arobaini ya Marehem Hassan Jumanne Makunja,
Itafanyika tarehe 29.01.2011 kuamkia 30.01.2011 huko mjini utete/Rufiji
kwa mama wa marehem.
Marehem Hassan Jumanne Makunja
Amezaliwa 4-03-1964 amefariki 19-Dec-2010

taarifa zaidi wasiliana namba hii 0787532929 au 0718893419, Bi.Ummy Makunja
0784617961 Bi.Zaituni Hamisi
082249496 Saleh Makunja

1 comment:

emu-three said...

Assalam aleykum, sijui kama nilishapita hapa leo, ...tunashukuru sana kwa taarifa hii, arubaini ndio hitimisho la msiba, lakini tuzidi kumkumbuka mpendwa wetu huyu kwa dua za mara kwa mara!