Tuesday, November 30, 2010

Watanzania wakamatwa na Heroin Japan
Ally Mohamed Hussein 37 na Mahenga Ally Machenga, wamekamatwa na madawa ya kulevya kilo 1.3 yenye thamani ya Yen 78,000,000 walipo jisalimisha Polisi baada ya kushindwa kuupakua mzigo na kupata maumivu makali ya tumbo, ili waweze kupata huduma ya Hospital

2 comments:

emu-three said...

Hivi kweli dunia ya leo unabeba madawa eti hutajulikana...jamani huo utajiri waharaharaka, tuuote hapa kwetu tu, wenzetu siku hizi wanaona hata kile ulichoficha ndani ya damu..sembuse tumboni!

chib said...

Naona na arobaini zao zilikuwa zimeshafika. Nimefurahi sana kwa kushindwa kwao kuzipakua porini ha h a haaaa