Sunday, November 07, 2010

Rais Jakaya Kikwete Apongezwa


Rais Joseph Kabila akimpongeza Rais Jakaya Kikwete


Marais walio hudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais Jakaya Kikwete, kushoto Rupiah Banda wa Zambia, Rais Jacob Zuma Afrika ya Kusini, Rais Mwai Kibaki wa Kenya na Rais Joseph Kabila wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo