Uchaguzi wa Viongozi wa Tanzanite Society Japan wafana

Afisa Ubalozi akiongea machache kabla ya Uchaguzi

Uongozi Mpya

Afisa Ubalozi akiupongeza uongozi mpya
Mwenyekiti Msaidizi Bw R. Njenga
Katibu Bw J. Mwombeki
Katibu Msaidizi Bi A. Kobayashi, a.k.a Sauti ya Mwanamke Hongera mwanakwetu kila la heri

Hongera Bw Njenga

Mkurugenzi wa Petiy Global, Petiy Baraka akitoa hoja
No comments:
Post a Comment