Friday, August 13, 2010

Khanga hizo!!!


msema kweli mpenzi wa Mungu
kila mtenda jambo jema Mungu humlipa wema
Mungu hana upendeleoMungu tupe upendo pendo letu lidumuMungu tupe upendo tupendane duniani
tuvute subira Mungu humpa amtakae
Mungu hana hiana
mungu ndie muamuzi wa haki
mwamini Mungu kwa kila jambo utafanikiwa
Neema za Mungu zatosha

nyanaza kulia Mungu atakusaidia

tumshukuru Mungu kwa Rehema zake

1 comment: