Sunday, July 25, 2010

TANZANITE SOCIETY JPWaheshimiwa wanachama wa jumuiya,jumapili ijayo tarehe 1.8.2010,saa 12 jioni kutakuwa na mkutano wa kuchagua viongozi wapya wa jumuiya pale odasaga plaza.Wale wote wanaotaka kugombea wawasiliane na kamati ya uchaguzi.Katika mkutano huo taarifa ya fedha kwa kipindi cha miaka 2 itatolewa na mapendekezo madogo ya katiba. Kwa kuwa muda ni mfupi wote mnaombwa kufika kwa wakati.
Tafadhali ukipata taarifa hii mtumie/mtaarifu na mwenzako.
Ahsanteni.
MWENYEKITI

1 comment:

chib said...

Kila la heri, sie wa kwetu tulifanikisha. Tuliomba kupitia ofisi ya ubalozi tupewe fursa ya kupiga kura tukiwa huku ugenini- Rwanda