Monday, July 12, 2010

Mama Salma ampongeza Rais J.Kikwete


Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpongeza Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuchaguliwa kwa zaidi ya silimia 99 kuwa mgombea pekee wa Urais kwa tiketi ya CCM


Mwenyekiti wa CCM ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulishaMgombea Urais wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed Shein(kushoto) na mgombea mwenza bara Dr.Mohamed Gharib Bilal kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM jana usiku.

No comments: