Sunday, June 06, 2010

Pole Urembo

Watanzania wanaoshi Kanto walipofika kumfariji Bw Mustafa R. Urembo, katika kisomo cha kumuombea Marehemu Mama yake Urembo aliye fariki Tanzania, Mungu Amlaze Mahali Pema Peponi ANIN


Bw Urembo

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Safi sana huu ndio ushirikiano mzuri