Sunday, May 02, 2010

Pole SabinaWatanzania waishio kanto walipofika kumfariji Bi Sabina Itambiko aliyefiwa na dada yake Ida Itambiko, aliyefariki Tanzania na kusoma Ibada ya kumuombea Marehemu, Odakyu Sagamihara
3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

huu ndio ushirikiano mzuri inapendeza kwa kweli.Nami natoa pole zangu..

test said...

poleni na msiba, nimefuahi kuona mshikamano mliokuwa nao watanzania wa japan, hongereni kwa hilo mum hery asante kwa kutuhabarisha

Anonymous said...

Dada shabina pole sana na msiba mwenyezi mungu aiweke roho ya marehemu peponi Amin.vp sis mumy hujambo? ni mie ndugu yako....by REHEMA