Sunday, April 25, 2010

Khanga hizo!!!


mtu muongo usimuulize neno
usisumbuke na ulimwengu tafuta maisha


ukinipenda usinipende utajaza wewe

maisha ni kutafuta sio kutafutanakama limekuchoma piga ngoma
sijiweki roho juu kwa kutaka makuu

kukulacho kinguoni mwako
chongeni fenicha michonge maneno


inafaa nikupongeze umbea unauweza

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Dada hizi kaka unauza pia au una web site kuna mtu ameniulizia. nitashukuru ukinijuza:-)

mumyhery said...

Yasinta hizi khanga naziuza, ila kwa sasa naziuza Yahoo Japan tu na kwenye event ila hapo baadae natarajia kuongeza wigo