Thursday, February 11, 2010

Valentine Dresses4 comments:

Subi said...

MumyHery, this is a very nice collection. Very cute!
How about men's wear?

Yasinta Ngonyani said...

Rangi na kila kitu ni bomba ile mbaya asante kwa hili dada!!

Subi said...

Yasinta umeona eeh? yaani Mumy amekamata kuroho, picha nzuri sana, yaani blogu inazidi kuvutia kwa picha za kupendeza. Safi sana Mumy, keep it up!

mumyhery said...

Shukran Subi tuko pamoja, Ahsante sana Yasinta si unajua tena biashara matangazo!!!