Thursday, February 25, 2010

Khanga hizo!!!

usione kunyamaza kujibu nnajua
Jirani mbaya usimuonee haya
Wizi Mtupu


kheri nyuki kuliko chuki

nalia na mwewe kumbe hasidi ni wewe


najuta kukufaham

sijali lawama naomba salama


chongeni fenicha msichonge maneno

habari ndiyo hiyo


1 comment:

Anonymous said...

Asante Mamii.
Nimefurahi kuziona khanga, maua na michoro yake na maneno pia.