Monday, January 04, 2010

Sherehe Mwaka Mpya 2010

Sherehe ya mwaka mpya ya Tanzanite yafana!

Siku ya jana Jumapili tarehe 4 Januari, uongozi wa Jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchini Japani (Tanzanite) uliandaa sherehe kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya 2010 huko Hon Atsugi. Wananchi walijitokeza kwa wingi katika sherehe hiyo ambayo ilifana sana. Blogu ya wananchi inawaletea picha kadhaa za tukio hilo.No comments: