Tuesday, January 05, 2010

Happy Birthday Yasinta


Bi Maisha leo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa twamtakia kila la heri baraka tele na afya njema kwake na familia yake kwa ujumla, yeye anapatikana
hapa

4 comments:

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

she looks very very cuuuute here, mmmmhhhaaaahhhhh

Yasinta Ngonyani said...

Ngoja niwe wa kwanza. Na niseme asante kwa upendo wako dadangu.nawe pia ubarikiwe sana.

SIMON KITURURU said...

Kila la kheri NA baraka,... na afya tele njema kwake na familia yake Dada Yasinta!

Anonymous said...

KILA LA KHERI NA INSHALLAH UISHI MUDA MREFU.


disminder