Friday, November 27, 2009

Happy Birthday Koku
7 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nimependa mtoto mzuri kweli HONGERA SANA mtoto Koku kwa siku yako ya kuzaliwa.

Mzee wa Changamoto said...

Oooooh Kokuhumbya. Si mzuri wa sura bali hata maana ya jina pia.
Basi nakutakia siku njema na kwa hilo nasema WAIHYUKA MUNO
Omukama akuhe omugish'Agwe eitula lwawe lyona.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

kokuhumbwa humbya, humbya, humbuya

John Mwaipopo said...

kaku 'ongela' kutimiza idadi hiyo ya kamwaka kamoja hako (au tuwili?). ukuwe uje kuwaona wajukuu wa wajukuu wako.

naambiwa majina ya huko kwa kina lutabasibwa na mubelwa yana maana zake sasa kokuhumbya in'maana gani?

Anonymous said...

koku ulimwiza chane.

disminder

chib said...

Anony... lugha za watu hizo, he he hee. Hongera baby Koku

shamim a.k.a Zeze said...

hi mamy jamani kuna huyu mtu naomba umsaidie plz alinipigia ameona namba kwa blog yako

ANAITWA FELIX NA HIYO NI NAMBA YAKE 0789 333554

HATA UMUSMS AKUPIGIE ANA SHIDA

usiaprove hii nimeona ni easy way kucomunicate