Friday, September 11, 2009

Mkokoto wa Jembe

tumevuna na mkaa

3 comments:

Anonymous said...

du nimekubali badala ya kuangalia khanga naangalia wanyama asante haya ndio tunayo yataka kuona watu wana tangaza vivutio vyao.sio wakenya tu kilawakati.

Bennet said...

MumyHery kumbe na wewe ni mkulima mwenzangu, hii ilikuwa lini na wapi?
Hongera sana KILIMO KWANZA

Yasinta Ngonyani said...

Umenikumbusha mbali hizo passion. Wow! safi sana dadangu.