Tuesday, September 22, 2009

JATA World Tourism Congress & Travel FairMaonyesho ya kila mwaka ya utalii yameanza huko Tokyo Big Sight. Taasisi, mashirika na makampuni ya utalii kutoka Tanzania kama TANAPA, TTB, Wizara ya Utalii nk. pia wanashiriki kwenye maonyesho hayo


Mumyhery na mkurugenzi wa kampuni ya Wilna International Japan katika maonyesho ya JATA World Travel
Wawakilishi toka mashirika na makampuni ya utalii toka Tanzania
Mdau Barre2 comments:

Koero Mkundi said...

KAAZI KWELI KWELI...AHSANTE DADA

Bennet said...

Hapa naona ulituwakilisha vizuri sana, kama kawaida yako mambo ya asili kwa kwenda mbele, HONGERA SANA