Bendi mahiri inayojumuisha wanamuziki kutoka Tanzania, The Tanzanite Band, chini ya nguli Fresh Jumbe Mkuu, wiki hii siku ya Jumamosi itafanya makamuzi ya kufa mtu katika ukumbi wa Bar Continental.Wananchi wanataarifiwa siku hiyo asiye na mwana aeleke jiwe, maana zitashushwa ngoma za kufa mtu.
No comments:
Post a Comment