KAMA OPTION

KAMA OPTION

KI

KI

eid

eid

Tuesday, April 21, 2009

Maonyesho ya Tinga tinga




Kutakuwa na maonyesho ya kumbukumbu ya michoro ya Tingatinga iliyochorwa na marehemu Jaffari Hausi. Taarifa zaidi kuhusu maonyesho hayo soma hapo chini.

I would like you to inform the Tanzanian Community that we have organized memorial exhibition for late Mr. Jaffary which will be opened by his wife Mrs. Jaffary.
The detail are as follows;
DATE: April 24 - April 28
TIME: 10:00-18:00
PLACE: Harumi Triton Square
4 min from Kachidoki Station (Oedo line) A2a and A2b exit
9 min from Tsukishima Station (Oedo Like) Number 10 exit
We are going to sell many Tingatinga Arts, Makonde carvings, accessories and so on.
Hope many people will visit her since she would like to appreciate many of you who contributed for her husband.

5 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Dada upo? Salamu kwako na kwa wote

mumyhery said...

Nipo ndugu yangu, baada ya African Festival, najipanga kwa ajili ya African Festa ambayo inatarajiwa kufanyika tarehe 16/17 may.

Yasinta Ngonyani said...

Nimeona maoni yako nimefurahi sana kwa kuzipenda picha zangu ilikuwa kwa kucheza tu. Ahsante sana dada

Bennet said...

kama ninitakosea naomba nirekebishwe, nakushauri picha zako zionyeshe zaidi hizo bidhaa ambazo ni kazi za wasanii, yaani kama ni sanaa ya picha za kuchora, mavazi, vinyago n.k uzipige picha zenyewe ili nasi tufaidi kuona matunda yako vizuri. napenda kazi za sanaa na blogu yako ni nzuri hongera sana

mumyhery said...

Bennet nafikiri baadhi vinaonekana ikiwa ni pamoja na kanga na necklace, hasa kwa vile wanapenda sana kanga, na iwapo utaangalia kwenye link event ya african festa ya 08 unaweza kuona jinsi gani kanga zilivyo fanya vizuri na unaweza pia kuziona kanga tena kwenye link hiyo hiyo ya event kwenye maonyesho ya Tokyo big site, hata hivyo wakati wa event chakula cha kiafrika huwa kinafanya vizuri zaidi