Kutakuwa na tamasha la Kiafrika huko katika jiji la Mstahiki Meya Hamza Mgumi la Yokohama kuanzia siku ya Ijumaa tarehe 3 Aprili mpaka Jumapili tarehe 5 Aprili. Usingoje kusimuliwa, fika mwenyewe uone mambo mbambali kuhusu bara la Afrika ikiwa ni pamoja na sanaa, utamaduni, vyakula, mihadhara, picha, mavazi nk.
Mjasiriamali Bi. Mariam Yazawa naye atakuwepo kuwakilisha Tanzania. Kwa taarifa zaidi tembelea blogu yake kwenye: http://serengetigrill-jp.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment