KAMA OPTION

KAMA OPTION

KI

KI

eid

eid

Tuesday, May 31, 2011

Tanzanite Society


Ndugu Wanajumuiya na Watanzania wote kwa ujumla,
Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Wanaoishi Nchini Japani unapenda kuwatangazia matokeo ya uchaguzi wa viongozi wa Jumuiya ambao ulifanyika jumapili ya tarehe 22 MEI 2011. Katika ukumbi wa Ubalozi wetu pale Kamiyoga., Setagaya ku Tokyo.

Majina na nafasi za waliochaguliwa ni kama ifuatavyo:

1. Ndugu Njenga, Rashid - Mwenyekiti
2. Ndugu Sugai, Prosper - Makamu Mwenyekiti
3. Ndugu Ntyangiri, Christopher - Mweka Hazina
4. Ndugu Kidume, Ahmed - Mweka Hazina Msaidizi
5. Ndugu Jumbe, Fresh - Mwenyekiti Kamati ya Usuluhishi/ Nidhamu
Wajumbe wengine na nafasi zao zinabakia kama zilivyokuwa awali.

Jullius L. Mwombeki Jnr
Katibu Mkuu
Jumuiya ya WaTanzania Wanaoishi nchini Japani

Saturday, May 28, 2011

Tanzanite Society - Uchaguzi Mdogo Wafana





Mheshimiwa S. Sijaona akitoa nasaha baada ya uchaguzi





Mheshimiwa Balozi akitoa zawadi kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Tanzanite Society Dr A. Simba ambae anarudi nyumbani Tanzania






Mheshimiwa Balozi akitoa cheti kwa Dr Simba






Afisa Ubalozi Mrs J. Maleko





Mariam na Mhesimiwa Balozi



Mwenyekiti Mpya wa Tanzanite Society Mr R. Njenga, Mkurugenzi wa Brilliant Auto & General Trading Company Ltd


Mwenyekiti Msaidizi Mr Prosper Nguku, Mkurugenzi wa Rosper Inernational







Mweka Hazina Msaidizi Mr Ahmed Kidume



































































Monday, May 23, 2011

Miss Foreigner Japan 2011


Miss foreigner Japan alipotutembelea kwenye Golden week festival ni kutoka Thailand