Saturday, September 26, 2009

Jifunge khanga

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Asante kwa hiyo mitindo ntamwonyesha binti yangu ili ajifunze na pia anataka kuwa kama wewe baadaye....LOL

mumyhery said...

Yasinta nimefurahi sana kusikia hivyo, nami namtamani sana naona atakuwa mkwe wangu, kwani napenda wakwe walio changamka/wapiganaji/wahangaikaji namkaribisha sana

Bennet said...

Ongea kwanza na mimi Mjomba wake, laasivyo siku hiyo sitoki mlangoni na panga langu LOL